10 Aprili
Mandhari
(Elekezwa kutoka Aprili 10)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 10 Aprili ni siku ya 100 ya mwaka (ya 101 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 265.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 401 - Theodosius II, Kaizari wa Dola la Roma Mashariki (408-450)
- 1847 - Joseph Pulitzer, mhariri wa magazeti Mmarekani, na mwanzishaji wa Tuzo ya Pulitzer
- 1887 - Bernardo Houssay, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1947
- 1899 - Vladimir Nabokov, mwandishi wa Urusi na wa Marekani
- 1917 - Robert Woodward, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1965
- 1927 - Marshall Nirenberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1968
- 1952 - Steven Seagal, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1987 - Thabani Kamusoko. mchezaji wa mpira kutoka Zimbabwe
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1585 - Papa Gregori XIII (* 1502; Papa kati ya 1572 na 1585) aliyeanzisha Kalenda ya Gregori
- 1835 - Mtakatifu Magdalena wa Canossa, bikira nchini Italia
- 1992 - Peter Mitchell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1978
- 2011 - Stephen Watson, mwandishi wa Afrika Kusini
- 2013 - Robert G. Edwards, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2010
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Terensi na wenzake, Apoloni wa Aleksandria, Paladi wa Auxerre, Beda Kijana, Makari wa Gent, Fulbati, Mikaeli wa Watakatifu, Magdalena wa Canossa n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 10 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |