Thabani Kamusoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thabani Scara Kamusoko (amezaliwa Harare, Zimbabwe, 10 Aprili, 1987) ni mchezaji wa kandanda katika klabu ya Yanga S.C inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania bara.

Thabani Kamusoko anacheza nafasi ya kiungo mkabaji na mchezeshaji.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thabani Kamusoko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.