John Mnyika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

John Mnyika ni mwanasiasa wa chama cha CHADEMA nchini Tanzania aliyechaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Ubungo tangu mwaka 2010.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Member of Parliament CV. Bunge la Tanzania (2010).