Jerome Bwanausi
Mandhari
Jerome Dismas Bwanausi (alizaliwa 1 Novemba 1959) ni mwanasiasa wa Chama cha kisiasa cha (CCM) nchini Tanzania. Alichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Lulindi katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka 2015.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jerome Bwanausi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |