Damian Dalu
Mandhari
Damian Dalu (amezaliwa 26 Aprili 1955) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.
Aliwekwa wakfu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka 2000.
Tangu mwaka huo, alikuwa askofu wa Jimbo la Geita hadi mwaka 2014 alipohamishiwa Jimbo kuu la Songea kama askofu mkuu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |