Fuya Godwin Kimbita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Fuya Godwin Kimbita (amezaliwa tar. 7 Mei 1967) ni mbunge wa jimbo la Hai katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Fuya Godwin Kimbita (17 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.