Failuna Abdi Matanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Failuna Abdi Matanga
Nchi Tanzania
Kazi yake Mwanariadha

Failuna Abdi Matanga (alizaliwa 28 Oktoba 1992) ni mwanariadha wa kimataifa kutoka nchini Tanzania kwenye mbio ndefu.[1]

Mnamo Machi 2018 alipokea hundi ya kiachi cha Sh. milioni 1, kama mshindi wa pili wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon upande wa Kilometa 21.[2]

Vile vile ameshiriki mashindano ya dunia kwa upande wa wanawake wanaokimbia mita 10,000 mwaka 2017 huko Marekani.[3]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Failuna Abdi Matanga. IAAF. Iliwekwa mnamo 11 August 2017.
  2. http://www.the-sports.org/failuna-abdi-matanga-athletics-spf480601.html
  3. 10,000 Metres Women. IAAF. Iliwekwa mnamo 11 August 2017.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]