Bahati Ali Abeid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Bahati Ali Abeid (amezaliwa 22 Mei 1967) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania. Aligombea kiti cha bunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mahonda. Pia alikuwa sekretari wa Umoja wa Wanawake Tanzania kuanzia 2002-2003.[1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Chanzo[hariri | hariri chanzo]