Monica Ngenzi Mbega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Monica Ngezi Mbega)

Monica Ngenzi Mbega (amezaliwa 22 Aprili 1956) alikuwa mbunge wa jimbo la Iringa Mjini katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[1]

Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Monica Ngenzi Mbega". 13 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.