Monica Ngenzi Mbega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Monica Ngenzi Mbega (amezaliwa tar. 22 Aprili 1956) ni mbunge wa jimbo la Iringa Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Monica Ngenzi Mbega (13 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.