Abdi Banda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Abdi Banda (alizaliwa Tanga, 20 Mei 1995) ni mchezaji wa soka nchini Tanzania.

Kwa sasa anachezea timu ya taifa Taifa Stars (beki), na klabu ya Baroka FC (#24 / beki).

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdi Banda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.