Isack Aloyce Kamwelwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Isack Aloyce Kamwelwe (amezaliwa 30 Aprili 1956) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Katavi kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017