Abdulrazak Gurnah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Abdulrazak Gurnah (amezaliwa 1948 huko Zanzibar) ni mwandishi Mtanzania aliyeishi nchini Uingereza. Huko anafundisha katika Chuo Kikuu cha Kent tangu 1982. Tangu mwaka wa 1987 alitolea riwaya kadhaa kwa lugha ya Kiingereza.

Orodha ya riwaya zake[hariri | hariri chanzo]

  • Memory of Departure (1987)
  • Pilgrims Way (1988)
  • Dottie (1990)
  • Paradise (1994)
  • Admiring Silence (1996)
  • By the Sea (2001)
  • Desertion (2005)


People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdulrazak Gurnah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.