Nenda kwa yaliyomo

Uzamili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Shahada ya uzamili)

Uzamili (pia "masters" au "lisensiati") ni shahada ya pili inayotolewa na vyuo vikuu baada ya digrii ya bachelor na kabla ya shahada ya uzamivu.

Shahada hiyo ya pili inamruhusu msomi aliyeipata afundishe katika taasisi za elimu ya juu.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uzamili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.