Idris Sultan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Idris Sultan (alizaliwa 28 Januari 1993) ni mwigizaji, mchekeshaji, na mtangazaji wa redio wa Kitanzania ambaye alishinda Big Brother Africa-Hotshots mnamo 2014.

Anasimamia kipindi kikubwa cha habari cha ucheshi kiitwacho Sio Habari. Mbali ya hiyo, yeye ni mwendeshaji wa kipindi chake cha ucheshi. Pia ni mwendeshaji wa kipindi cha redio kiitwacho MwB (Mji wa Burudani) kupitia kituo cha redio kiitwacho Choice Fm Archived 1 Julai 2019 at the Wayback Machine. nchini Tanzania.

Anajulikana nchini Tanzania kupitia machapisho yake ya vichekesho kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii.

Tuzo na uteuzi[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Tuzo Kipengele Matokeo
2017 Abryanz Style and Fashion Awards Male Most Stylish/Dressed Celebrity (Africa) Ameshinda
2016 Best Male Dressed Media Personality(Africa) Ameshinda

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Idris Sultan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.