Abbas Zuberi Mtemvu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Abbas Zuberi Mtemvu (amezaliwa 1 Novemba 1959) ni mbunge wa jimbo la Temeke katika bunge la taifa tangu 2005 nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Abbas Zubeir Mtemvu (13 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.