Wilaya ya Temeke
(Elekezwa kutoka Temeke)
Jump to navigation
Jump to search

Mahali pa Temeke (kijani) katika mkoa wa Dar es Salaam.
Wilaya ya Temeke ni wilaya ya Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania yenye postikodi namba 15000[1].Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 1,368,881 [1].
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Kata za Wilaya ya Temeke - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Azimio | Buza | Chamazi | Chango'mbe | Charambe | Keko | Kibada | Kiburugwa | Kigamboni | Kijichi | Kilakala (Temeke) | Kimbiji | Kisarawe II | Kurasini | Makangarawe | Mbagala | Mbagala Kuu | Mianzini | Miburani | Mji Mwema | Mtoni | Pemba Mnazi | Samangira | Sandali | Tandika | Temeke (kata) | Toangoma | Tungi | Vijibweni | Yombo Vituka |
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Temeke kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |