Zakariah Barie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zakariah Barie (alizaliwa 29 Mei 1953) ni mwanariadha mstaafu wa Tanzania wa mbio ndefu aliyebobea katika mbio za mita 10,000 .

Alishinda medali ya fedha katika Michezo ya Jumuiya ya Madola ya mwaka 1982, alimaliza katika nafasi ya kumi na tatu katika Michezo ya Olimpiki ya 1984 . Alishiriki pia katika Michezo ya Olimpiki ya 1980 na Mashindano ya Dunia ya 1983 bila kufika fainal.

Alisoma katika Chuo Kikuu cha Texas huko El Paso .


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zakariah Barie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.