Andrew Tarimo
Mandhari
Andrew Tarimo (alizaliwa Kilimanjaro, Tanzania) ni profesa wa kitaaluma na mtafiti kutoka Tanzania ambaye amebobea katika uhandisi wa umwagiliaji na mifumo ya usimamizi wa maji. [1] [2]. Pia anatoa anafindisha na ni simamizi katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Idara ya Sayansi ya Uhandisi na Teknolojia, hapo awali Idara ya Kilimo Uhandisi na Mipango ya Ardhi. [3] [4] [5]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Professor Tarimo Sokoine University of Agriculture career profile".
- ↑ "UPGro researchers in Tanzania".
- ↑ "Professor Andrew Tarimo presentation module on principals of irrigation and irrigation planning" (PDF).
- ↑ "Professor Tarimo Research work on Uganda".
- ↑ "Research team on improving ways of cross-disciplinary research across Great Ruaha catchment, Upper Awash Basin and Lullemmeden Basin". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-27. Iliwekwa mnamo 2021-06-20.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Publications by Andrew Tarimo at ResearchGate
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Andrew Tarimo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |