Anna Aloys Henga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Anna Aloys Henga

Anna Aloys Henga (amezaliwa tarehe) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) tokea mwaka 2017 [1].

Amejiunga kwa mara ya kwanza na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa utafiti wa kimasomo mwaka 2003 [2], na kujiunga rasmi mwaka 2006 kwa mazoezi ya vitendo [3].

Amehitimu shahada ya sheria katika chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2006, na stashahada ya jinsia kutoka Sweden Institute of Public Administration.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anna Aloys Henga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.