Sajjad Fazel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Sajjad Sherally Fazel (amezaliwa Mei 14, 1991) ni mfamasia wa Kliniki Tanzania, mwandishi wa makala za afya na mwanzilishi wa Afya Yako, juhudi ya kwanza nchini Tanzania ya kustawisha afya ya umma kwa intaneti.[1][2][3]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2009 alimaliza Haven of Peace Academy.

Rasmi mwanzoni mwa mwaka 2015 aliweza kuwa Daktari wa Famasia kutoka Manipal Academy of Higher Education.

Mnamo mwaka 2018 alipata Shahada ya pili katika kitivo cha Afya ya Jamii "Master of Public Health" kutoka University of Western Ontario.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sajjad Fazel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.