Hasheem Thabeet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Hasheem Thabeet mwaka 2010.

Hasheem Thabeet (jina kamili: Hashim Thabit Manka; alizaliwa Dar es Salaam, 16 Februari 1987) ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea Tanzania anayeichezea timu ya Fort Wayne Mad Ants katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu (NBA) ligi G. [1]

Hasheem alichezea timu ya chuo cha UConn kabla ya kuchaguliwa kama chaguo la pili mwaka 2009 katika timu ya Memphis Grizzlies.

Urefu wake ni mita 2.21.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Hasheem Thabeet NBA & ABA Stats. Basketball-Reference.com. Iliwekwa mnamo 19 November 2013.
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hasheem Thabeet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.