William Ngeleja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ngeleja

William Mganga Ngeleja (amezaliwa tar. 5 Oktoba 1967) ni mbunge wa jimbo la Sengerema katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu William Mganga Ngeleja (3 Julai 2008). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.