Edward Loure

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Edward Loure ni Mmasai mwanaharakati wa kikabila wa Tanzania.

Loure alitunukiwa tuzo ya Mazingira ya Goldman mwaka wa 2016, kwa jitihada zake za kutetea maisha ya jadi ya Wamaasai, ambayo yametishiwa na utalii wa kibiashara. [1] [2] [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Gili. Organization: Ujamaa Community Resource Team, Tanzania. m.dw.com. Iliwekwa mnamo 30 July 2017.
  2. Tourtellot. Green Warriors Honored. National Geographic Society. Iliwekwa mnamo 30 July 2017.
  3. Edward Loure. 2016 Goldman Prize Recipient Africa. goldmanprize.org. Iliwekwa mnamo 30 July 2017.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward Loure kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.