Tumi Molekane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tumi Molekane

T akiburudisha katika mapokezi ya tukio la Ubunifu kwa Afya Bora
Amezaliwa 16 Agosti 1981
Tanzania
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake mshairi / mwimbaji



Tumi Molekane (16 Agosti 1981) ni mshairi na mwimbaji wa muziki wa kufokafoka wa nchini Afrika ya Kusini; alikuwa mmoja wa viongozi wa kundi la muziki la Tumi and the Volume lililokuja kuvunjika mwaka 2012. Mwaka 2016 Tumi alianzisha kundi jingine lilioitwa Stogie T [1] na kuachia albamu yao ya kwanza ilioitwa Stogie T wakishirikiana na Da L.E.S, Lastee, Emtee, Nasty C, Nadia Nakai na Yanga.[2]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Molekane alizaliwa nchini Tanzania na wazazi raia wa nchi ya Afrika Kusini.[3] Mwaka 1992 alihamia nchini Afrika ya Kusini na kuishi katika mji wa Soweto.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Tumi Mogano relaunches himself as Stogie T", Channel. (en) 
  2. "Stogie T Releases His New Album’s Tracklist", SA Hip Hop Mag, 2016-11-17. (en-US) 
  3. "Sauti za Busara: Tumi and the Volume". Mambo Magazine. Iliwekwa mnamo 2016-02-10. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tumi Molekane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.