Nenda kwa yaliyomo

Salim Abdallah Khalfan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salim Abdallah Khalfan (amezaliwa tar. 4 Oktoba 1961) ni mbunge wa jimbo la Tumbe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Salim Abdallah Khalfan". 19 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salim Abdallah Khalfan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.