Bashiru Ally

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bashiru Ally Kakurwa (alizaliwa Wilaya ya Bukoba Vijijini, 1 Januari 1968[1]) ni mwanasiasa nchini Tanzania.

Alichaguliwa kuwa katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi tarehe 31 Mei 2018.[2][3][4]

Kabla ya kuwa katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Bashiru alikuwa mhadhiri katika Chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Tarehe 26 Februari 2021 aliteuliwa na rais John Pombe Magufuli kuwa katibu mkuu kiongozi [5], lakini tarehe 31 Machi 2021 aliteuliwa na rais mpya Mama Samia Suluhu Hassan kuwa mbunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania [6].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/huyu-ndiye-dk-bashiru-ally-3306194
  2. Kolumbia, Louis. "Tanzania: Dr Bashiru - I Will Abide to CCM's Decisions On New Katiba", The Citizen (Dar es Salaam), 2018-06-01. 
  3. Kolumbia, Louis. "Tanzania: New CCM Secretary-General Lists Priorities", The Citizen (Dar es Salaam), 2018-05-31. 
  4. "The spotlight now turns on CCM’s new strategist", The Citizen, 2018-06-06. (en) 
  5. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-02-27. Iliwekwa mnamo 2021-02-26.
  6. https://www.bbc.com/swahili/habari-56589585
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bashiru Ally kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.