Babu Tale
Mandhari
Hamisi Shaban Taletale, pia anajulikana kama Babu Tale ( 31 Desemba 1982), ni meneja wa vipaji na mwanasiasa kutoka Tanzania kwa sasa anahudumu kama mbunge wa chama cha mapinduzi katika eneo bunge la Morogoro kusini tangu Novemba 2020.[1][2] Ni mwanzilishi mwenza wa lebo ya muziki ya WCB Wasafi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mwana FA and Babu Tale cleared to vie for parliamentary seats". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-21. Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
- ↑ "Meneja Babu Tale imebidi ayaseme haya kuhusu kauli ya Diamond kupitisha video MTV BASE – Millardayo.com". Iliwekwa mnamo 24 Agosti 2018.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Babu Tale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |