Renatus Boniface Njohole

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Renatus Boniface Njohole (alizaliwa Dar es Salaam, 16 Juni 1980), ni mchezaji kutoka nchini Tanzania aliyewahi kucheza katika timu ya mpira wa miguu ya FC Bavois.[1], pia amewahi kucheza mechi tatu za kimataifa akiwa na timu ya taifa ya Tanzania ya Taifa Stars.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Lonely Njohole news.bbc.co.uk
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Renatus Boniface Njohole kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.