Nenda kwa yaliyomo

Shukuru Kawambwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kawambwa (2010)

Dr. Shukuru Jumanne Kawambwa (amezaliwa 15 Desemba 1957) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania.[1]

Aliwahi kuwa waziri.

Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shukuru Kawambwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.