Nenda kwa yaliyomo

Raphael Chegeni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dr. Raphael Masunga Chegeni (amezaliwa 25 Mei 1964) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Busega kwa miaka 20152020. [1]

Kwenye Julai 2022 aliteuliwa na rais Samia Suluhu Hassan kuwa mkuu wa Mkoa wa Mara[2] lakini baada ya siku tatu uteuzi wake ulitenguliwa[3].

Marejeo

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. President Samia changes 10 Regional Commissioners, drops 9 in latest appointments Ilihifadhiwa 28 Julai 2022 kwenye Wayback Machine., The Citizen 28 Julai 2022
  3. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/rais-samia-atengua-uteuzi-wa-rc-mara-ateua-mpya-3898382