Busega
Busega ni jina la wilaya mpya katika mkoa mpya wa Simiyu, ambavyo vyote vilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012 yenye postikodi namba 39500 [1]. Maeneo yake yalikuwa sehemu za Wilaya ya Magu. [2].
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya ilikuwa na wakazi wapatao 203,597 waishio humo.
Makao makuu ya wilaya yako Nyashimo.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Simiyu bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |
![]() |
Kata za Wilaya ya Busega - Mkoa wa Simiyu - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Badugu | Igalukilo | Imalamate | Kabita | Kalemela | Kiloleli | Lamadi | Lutubiga | Malili | Mkula | Mwamanyili | Ngasamo | Nyaluhande | Nyashimo | Shigala |
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
- ↑ Sensa ya 2012, Simiyu Region - Busega District Council