Martha Mvungi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Martha Mvungi
Amezaliwa
Tanzania
Nchi Tanzania
Kazi yake mwandishi wa lugha ya Kiswahili na Kiingereza


Martha Mvungi ni Mtanzania mwandishi wa lugha ya Kiswahili na Kiingereza.[1]

Vitu muhimu vitatu alivyovifanya Martha ni kuwakusanya Wahehe na Wabena katika kutafsiri lugha ya Kiingereza.

Toka mwaka 1995 Martha amekuwa Mkurugenzi wa shule za Ecacs nje ya Dar es Salaam.[2]

Maandishi[hariri | hariri chanzo]

Kiingereza[hariri | hariri chanzo]

Was it an Illusion? “Darlite” Three Solid Stones, 1975. London: Heinemann Educational African Writers Series 159.

  • Yasin's Dilemma, 1985
  • Yasin in Trouble, 1990

Kiswahili[hariri | hariri chanzo]

‘’Hana hatia’’ 1975 ‘’Chale Anatumwa Sokoni’’ 1982 ‘’Lwidiko’’ 2003

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 'Ecacs Schools: Martha Mvungi', in Voices of Women Entrpreneurs in Tanzania, p. 10
  2. 'Ecacs Schools: Martha Mvungi, in 'Ecacs Schools: Martha Mvungi', in Voices of Women Entrpreneurs in Tanzania, p. 10
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martha Mvungi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.