Restituta Joseph

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Restituta Joseph Kemi
Amezaliwa 30 Julai 1971
Singida, Tanzania
Nchi Tanzania
Kazi yake Mwanariadha


Restituta Joseph Kemi (alizaliwa Singida, 30 Julai 1971)[1] ni mwanariadha wa mbio ndefu wa Tanzania.

Alibeba mara mbili bendera ya Tanzania katika hafla za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki majira ya joto mwaka 2000 na 2004.

Alikuwa mshindi wa mbio za Corrida de Langueux mwaka 1997 na 1999[2].

Mashindano ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Inawakilisha Bendera ya Tanzania Tanzania
1998 World Cross Country Championships Marrakech, Moroko ya 5 Mbio fupi
17 Mbio ndefu
1999 World Cross Country Championships Belfast, Uingereza ya 5 Mbio fupi
12 Mbio ndefu
Mashindano ya Dunia]] Seville, Hispania 13 10,000 m
2000 Mashindano ya Dunia ya Nyika Budapest, Hungaria 22 Mbio ndefu
10 Timu
2001 Mashindano ya Dunia ya Nyika Osten, Ubelgiji 24 Mbio fupi
ya 8 Timu
13 Mbio ndefu
9 Timu
Mashindano ya Dunia ya Nusu Marathon]] Bristol, Uingereza 15 Nusu marathoni
2002 Michezo ya Kijeshi ya Afrika]] Nairobi, Kenya 2 5000 m[3]

Ubora binafsi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Restituta JOSEPH KEMI | Profile | World Athletics". worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2022-02-26. 
  2. https://olympics.com/en/athletes/restituta-joseph
  3. Afrika Military Games. GBR Riadha. Ilirejeshwa mnamo 2015-01-30.