Ali Tarab Ali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ali Tarab Ali (amezaliwa 20 Julai 1947) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania tangu 2005. Alipata shahada ya udaktari katika mada ya biokemia kutoka chuo Kikuu cha Kharkov, Urusi, mwaka wa 1984.

Chanzo[hariri | hariri chanzo]