Elieshi Lema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Elieshi Lema, 2010

Memsahib Elieshi Lema (alizaliwa Nronga, 1949) ni mwandishi wa lugha za Kiingereza na Kiswahili kutoka Tanzania.[1]

Lema alianza kama mwandishi na mtunzi wa mashairi] na baadae kuwa mwandishi wa vitabu vya watoto katika lugha ya Kiswahili kabla ya kuandika riwaya yake ya kwanza ya Parched Earth katika Kiingereza mwaka 2001. Kitabu hicho kimetafsiriwa katika lugha ya Kiswidi na Kifaransa

Lema ni mmiliki wa kampuni ya uchapishaji ya House E&D Vision Publishing[2], lakini pia ni muendeshaji wa book café. E&D Vision Publishing imekuwa ikichapisha vitabu vya watoto katika lugha za Kiswahili na Kiingereza. Mwaka 1998 Ilichapisha kitabu kuhusu mjusi wa Tendaguru.

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

  • Noma , 2001 - Parched Earth (kutaja)

Machapisho[hariri | hariri chanzo]

  • "Safari ya Prospa", 1995
  • "Mwendo", 1998
  • "Parched Earth", 2001

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://sanaa-central.spla.pro/en/file.person.elieshi-lema.37070.html#
  2. E&D Vision – E&D Vision Publishing (en-US). Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-01-27. Iliwekwa mnamo 2020-04-23.
Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elieshi Lema kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.