Raymond Mwanyika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Raymond Mwanyika (1930 - 24 Oktoba 2013) alikuwa askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka wa 1971. Tangu mwaka huo alikuwa askofu wa Jimbo la Njombe hadi 2002, alipojiuzulu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Raymond Mwanyika kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.