Batuli (mwigizaji)
Mandhari
Yobnesh Yusuph Hassan (maarufu kama Batuli au Nesh Adan; alizaliwa Mwanza, 1 Februari 1986) ni mwigizaji kutoka Tanzania[1] Ameonekana katika filamu zaidi ya kumi ambazo zimehusisha waigizaji maarufu kama marehemu Steven Kanumba na Vincent Kigosi.
Batuli ana mtoto mmoja,[2] alianza kazi yake ya uigizaji mnamo mwaka 2000.
Filamu
[hariri | hariri chanzo]| Movie title | Role | Ref. |
|---|---|---|
| Ndoa Ya Utata | Batuli | [1][3][4] |
| Bad Luck | ||
| 5 Days Family | ||
| Ramadhan | ||
| Kazi yangu | ||
| Waves Of Sarrow | ||
| Fungate | ||
| Get Out | ||
| The Glory Of Ramadhan | ||
| My Fiance | ||
| Ripples Of Tears | ||
| Machozi | ||
| Shobo Dundo | [5] |
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 "Yobnesh Yusuph 'Batuli' | Actor, — Bongo Movies - Buy Tanzania Movies and DVD's Online". www.bongocinema.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-17. Iliwekwa mnamo 2017-10-10.
{{cite web}}: More than one of|accessdate=na|access-date=specified (help) - ↑ "Usiyoyajua Kuhusu Batuli". JamiiForums | The Home of Great Thinkers (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2017-10-10.
- ↑ "Waafrika wanaowania Ballon d'Or 2017". Bongo5.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2017-10-10.
- ↑ "FILAMU: Tazama dakika 25 za movie mpya ya Tajiri Mfupi aliyemzimia Mrembo Batuli – millardayo.com" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2017-10-10.
- ↑ "Shobo Dundo zaachiwa". www.dstv.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-10. Iliwekwa mnamo 2017-10-10.
{{cite web}}: More than one of|accessdate=na|access-date=specified (help)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Yobnesh Yusuph at the Internet Movie Database
- Batuli on Twitter