David William Lister Read

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

David William Lister Read (23 Aprili 19222 Julai 2015) alikuwa mwandishi wa kazi za tawasifu ambazo huonesha maarifa na taarifa juu jamii ya watu kutoka katika utamaduni Kimasai na kuandika historia yake. Aliishi maisha ya kama Mmasai Mweupe kwani alifahamu lugha ya Kimasai kabla ya kufahamu Kiingereza ambayo ndo ilikuwa lugha mama.

Alizaliwa Nairobi, ambapo baadaealihama na kukaa nchini Tanzania, nchini humo ndimo alimokuwa akiishi na ilimlazimu arudi huko mara kwa mara. Aliishi miaka kadhaa huko wilayani Momella Arusha,nchini Tanzania ambapo aliendelea na kazi zake za uandishi mpaka alipofariki.Kupitia makala hizi imepelekea kujulikana kwa tamaduni mbalimbali za Kimasai. [1][2]

Maandishi[hariri | hariri chanzo]

  • David Read, Barefoot over the Serengeti, privately published by David Read, Nairobi 1979, 2nd ed. 1980 by Travel Book Club. Reprint 1984, ISBN 9987-8920-2-7 and ISBN 0-304-30057-8
  • David Read and Pamela Brown, Waters of the Sanjan. A Historical Novel of the Masai, privately published by David Read 1982, rev.ed. 1989, ISBN 9987-8920-1-9
  • David Read, Beating about the Bush. Tales from Tanganyika, privately published by David Read 2000, ISBN 9987-8920-3-5
  • David Read, Another Load of Bull, privately published by David Read, ISBN 9987-8920-5-1

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.david-read.com/index.html
  2. This article is partly a translation of my article in the German wikipedia. – All biographical data are from the preliminary About the Author in Waters of the Sanjan or from the homepage of the author.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David William Lister Read kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.