Athuman Idd

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Athuman Idd Chuji
Maelezo binafsi
Jina kamili Athuman Idd Chuji
Tarehe ya kuzaliwa 2 Februari 1988
Mahala pa kuzaliwa    Dar es Salaam, Tanzania
Urefu Mita1.75
Nafasi anayochezea Kiungo wa kati
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Tanzania

* Magoli alioshinda

Athuman Idd Chuji,(alizaliwa 2 Februari 1988), ni mchezaji wa zamani wa soka nchini Tanzania, ambaye alichezea vilabu mbalimbali vya soka nchini Tanzania ikiwemo klabu ya Singida united, Polisi Dodoma, Coastal Union, Mwadui United, KMC, Singida United, Simba SC na Young Africans SC.[1]

Pia alishiriki mashindano mbalimbali ya kimataifa katika Timu ya Taifa ya Tanzania.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Benjamin Strack-Zimmermann. "Athuman 'Chuji' Iddi (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-12. 
  2. Benjamin Strack-Zimmermann. "Athuman 'Chuji' Iddi (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-12. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Athuman Idd kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.