Yahya Zayd

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yahya Zayd (amezaliwa 21 Juni 1996) ni mwanasoka wa kimataifa wa nchini Tanzania anayechezea timu ya Ismaily iliyopo huko Misri.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]