Faustine Ndugulile

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Faustine Engelbert Ndugulile (alizaliwa tarehe 31.03.1969) ni mwanasiasa wa chama cha CCM nchini Tanzania na ni mbunge wa jimbo la Kigamboni tangu mwaka 2010.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]