Chanjo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mtu akipewa na daktari chanjo ya ndui.

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni maandalizi ya kibiolojia ambayo hutoa kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Chanjo ya kawaida ina wakala ambao hufanana na vidubini vinavyosababisha ugonjwa huo. Chanjo hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio,pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote.

Tunashauriwa na madaktari kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Rod of Asclepius2.svg Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chanjo kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.