Nenda kwa yaliyomo

Nuru Awadhi Bafadhili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nuru Awadhi Bafadhili (amezaliwa 22 Novemba 1952) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania kupitia Chama cha Wananchi CUF kutokea jiji la Tanga.

Kitaaluma ni Mwalimu aliyestaafu. Ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi Taifa - CUF, Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa - CUF, na Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa CUF, pia ni mlezi kichama wa Kanda ya Pwani ambayo inajumuisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, na Bagamoyo. [1]

Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nuru Awadhi Bafadhili kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.