Clemence Beatus Lyamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Clemence Beatus Lyamba (amezaliwa tar. 16 Februari 1946) ni mbunge wa jimbo la Mikumi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]