Angelina Wapakhabulo
Mandhari
Angelina Chogo Wapakhabulo | |
Nchi | Uganda |
---|
Angelina Chogo Wapakhabulo (nchini Uganda anajulikana kama Mama Angelina; alizaliwa Machi 24, 1949)ni mwanaharakati wa jamii na mfanyakazi wa kijamii. Aliwahi kuwa Kamishna Mkuu wa Uganda nchini Kenya.[1] Yeye ni mwanachama mwanzilishi na mwenyekiti mwenza wa United Way Board.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Fact Sheet: The White House Summit on Malaria". georgewbush-whitehouse.archives.gov. Iliwekwa mnamo 2021-07-24.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Angelina Wapakhabulo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |