Nenda kwa yaliyomo

Martin Kolikoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Martin Kolikoli (pia anajulikana kama Martin Ndunguru; alizaliwa Dar es Salaam, Mei 25, 1989) alikuwa mchezaji wa mchezo wa mpira wa kikapu wa nchini Tanzania akitokea katika timu ya Pazi Basketball Team, kipaji chake cha mchezo wa kikapu kilikuwa zaidi alipokuwa katika shule ya Loyola High School.

Taaluma ya Mchezo wa Kikapu

[hariri | hariri chanzo]

Shirikisho la mchezo wa kikapu nchini Tanzania Tanzania Basketball Federation ilimchagua Kolikoli mwaka 2008 kuiwakilisha Tanzania katika programu ya mafunzo ya mchezo huo iliyofanyika nchini Afrika Kusini katika shule ya kimataifa ya Erican International School of Johannesburg, mafunzo yaliyoandaliwa na National Basketball Association pamoja na International Basketball Federation.[1]Baada ya kutoka katika mafunzo hayo, Kolikoli aliitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania kwa wachezaji walio na umri wa chini ya miaka 21

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. Kolikoli to represent Dar in J’burg basketball camp Archived 30 Juni 2009 at the Wayback Machine. http://dailynews.habarileo.co.tz/magazine/index.php?id=7048 Archived 30 Juni 2009 at the Wayback Machine. |date=2009-06-30 }}", TSN (Tanzania Standard Newspapers) Daily News, published September 3, 2008.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martin Kolikoli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.