Metacha Mnata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Metacha Boniphace Mnata (amezaliwa 25 Novemba 1998) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya Yanga Sc ya Tanzania na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars.

Metacha Boniphace Mnata anacheza nafasi ya mlinda mlango.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Metacha Mnata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.