Hawa Abdulrahman Ghasia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Hawa Ghasia)
Jump to navigation Jump to search

Hawa Abdulrahman Ghasia (amezaliwa tarehe 10 Januari 1966) ni mbunge katika Bunge la Tanzania tangu mwaka wa 2005, 2010 na 2015. Katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Ghasia alikuwa Waziri wa Huduma za Umma.

Mwaka wa 2003 alipata shahada ya pili katika somo la Maendeleo ya Vijijini kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine.[1] [2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Profile: Hon. Hawa Abdulrahiman Ghasia. Parliament of Tanzania. Iliwekwa mnamo October 20, 2016.
  2. https://prabook.com/web/hawa.ghasia/2336594

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]