Hawa Abdulrahman Ghasia
Mandhari
Hawa Abdulrahman Ghasia (amezaliwa tarehe 10 Januari 1966) ni mbunge katika Bunge la Tanzania tangu mwaka wa 2005, 2010 na 2015. Katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Ghasia alikuwa Waziri wa Huduma za Umma.
Mwaka wa 2003 alipata shahada ya pili katika somo la Maendeleo ya Vijijini kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine.[1] [2]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Profile: Hon. Hawa Abdulrahiman Ghasia". Parliament of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 14, 2016. Iliwekwa mnamo Oktoba 20, 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://prabook.com/web/hawa.ghasia/2336594
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Wasifu wa Ghasia ktk tovuti ya Bunge Ilihifadhiwa 6 Aprili 2009 kwenye Wayback Machine.
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |